robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Tangu iliposikika kwamba kuna video ya ngono ya wansiasa wawili, twitter haiko hewani.
Video ipo, ukiitaka usilete ubishi ili upewe.Ndio Tunajua Serikali imefungia Twitter
Lakini kusema ukweli hakukubadilishi jinsia kaka, Tangu uchaguz Twitter imefungiwa wew Unakuja kusema Sijui video Sijui Wanasiasa wawili
Kama ingekuepo kweli hio video Watu wote wangeshaiona
Toa malalamiko yako kwa kusema ukweli na sio kwa kuongopa ongopa hapa
Tuko mikoani tukilamba x-mas yetu lakini tunataka kuwa connected na dunia.
Tangu iliposikika kwamba kuna video ya ngono ya wanasiasa wawili, twitter haiko hewani. Tunahangaika kupitia njia za panya ili kuwasiliana na kusoma mambo ya muhimu. Hii kufunga funga itaendelea hadi lini wakati kuna mijitu mijinga mingi ikifanya ngono kwa uzembe?
Kama kweli sababu ni hiyo ya wanasiasa wanaojianika kwa ngono basi itakuwa ni mateso kwa Watanzania.
TCRA turudishieni twitter. Anayeamua kujitandaza hovyo isiwe mzigo kwa taifa. Wapuuzi hawatakwisha kwa mtindo huu.
We ingia protonsTuko mikoani tukilamba x-mas yetu lakini tunataka kuwa connected na dunia.