namba yao ni 15016 ndiyo wanayotumia. na ukishaingia hupati hiyo vocha bali ujumbe kuwa umejiunga bure na takataka zingine. Hizo coupon waliwapatia vijana wadogo wadogo wazisambaze. walizigawa nyingi sana kwenye mikusanyiko ya watu. Mimi sikuchukua kwa sababu nataka free voucher bali nilitaka kujua kama kuna hongo ndani yake ili nikawashtaki.Mkuu pole sana, ni vocha za Kampuni gani ya simu, hii inweza kuwa mwanzo mzuri wa kufuatilia kwenye hayo makampuni
... kondoo walikuwa wanajifunza wimbo mpya kwamba 'MIGUU MINNE NI MIZURI, LAKINI MIWILI NI MIZURI ZAIDI' ndipo wanyama wakaona nguruwe wakiongozwa na MZUSHI wakijaribu kusimama kwa miguu yao miwili ya nyuma.....JK alipokashfiwa na mtandao wa Ze Utamu ulifungiwa mara moja na TCRA. Slaa anapokashfiwa anaambiwa aende polisi. JK alipopigwa mawe huko Mbeya wapiga mawe walidakwa haraka sana, lakini Mtikila alipopigwa mawe Tarime hakuna kilichofanyika! Anyway, "all animals are equal but there are those who are more equal than others!"
Ushauri nawapa wale wenye ndoto ya kuikomboa nchi kwani mabadiliko silele mama na mabadiliko hayeletwi na ulalamishi bali yanaletwa na mikakati endelevu!Ushauri mzuri sana, kama unaweza wafikishie Shimo, kinana na Makamba kwa kuwa wanafanya siasa za kimafia na ustaarabu unoadress hawana
Tumeona humu JK amekashifiwa lkn mtandao haujafungiwa the same applied to Dr Slaa hasa kipindi hiki cha kampeni kila kitu kimewachiwa huru .Point niliyotaka kuiweka ni kwamba unapoamua kupambana pambana na wacha ulalamishi weka mkakati mbadala na endelevu kufikia lengo husika kwasababu ulalamishi si moja ya njia mbadala au endelevu ya kufikia lengo!JK alipokashfiwa na mtandao wa Ze Utamu ulifungiwa mara moja na TCRA. Slaa anapokashfiwa anaambiwa aende polisi. JK alipopigwa mawe huko Mbeya wapiga mawe walidakwa haraka sana, lakini Mtikila alipopigwa mawe Tarime hakuna kilichofanyika! Anyway, "all animals are equal but there are those who are more equal than others!"
Tumeona humu JK amekashifiwa lkn mtandao haujafungiwa the same applied to Dr Slaa hasa kipindi hiki cha kampeni kila kitu kimewachiwa huru .Point niliyotaka kuiweka ni kwamba unapoamua kupambana pambana na wacha ulalamishi weka mkakati mbadala na endelevu kufikia lengo husika kwasababu ulalamishi si moja ya njia mbadala au endelevu ya kufikia lengo!
Hata wakisema haitajalisha kwani yatakuwa yale yale ya ulalamishi ambao hauna tija ktk mkakati ushindi!ni kwa sababu hawawezi kufungia; ila kwa vile ndio wamekubali kuwa hizi ndio siasa basi mkuki ukirudishwa wasije wakasema "huyu ni binadamu"..
wewe umenena na Angalau hili linaonyesha mbadala wa kombora lao!Namba nyingine ni +3588108226
+3588976578
Nimetumiwa na Namba zote hizo.
Nashauri tuchukue hatua haraka: Kwanza ku 'counter attack' message.
Tutumie watu message kwamba "Tupuuze propaganda za ccm, Chadema ni Chama cha Amani. Tunataka uchaguzi Huru na Haki. Chagua Chadema, Chagua Slaa. Tusidanganyike"
Asanteni
Hivi TCRA hawajafungia namba zisizosajiriwa hadi leo si walitoa dealine, then waka revice deadline na muda ukaisha!!! Anyway bongo no Deadline!!! By the way ilipokua ishu ya "call in RED number" walitoa tamko la kufuatilia source ya ujumbe, iweje hii ikwamishwe na zoezi la usajiri?? Kweli authorities zote bongo Zimechakachuliwa!! Tutakimbilia wapi jamani
Tusubiri, JWTZ limeahidi kuwachukulia hatua wachafuzi wote. Bila shaka watawachukulia hatua na wanaosambaza sms hiyo. Ni wakati muafaka wa kumueleza shimbo achukue hatua kama alivyoahidi.Mkuu kuna kitu lazima kifanyike kukomesha hizi chokochoko dhidi ya TAIFA letu maana inaonekana kwamba nchi ipo kwenye UTASHI wa kikundi fulani kinachoamua hatima yetu in very childish way
Hakuna haja ccm wanaweweseka wacha wahangaike na cheap popularity Mara !Mara kwa waalimu lakini jk is as good as dead..na kuhangaika nao is wasting time biting a dead snake