Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Kumeibuka kikundi cha watu wanaojiita Digital Master kikiongozwa na mtu anaejiita Saidi Mbondela jijini Daresalaam ambao kazi yao ni kutangaza wana uwezo wa kutengeneza programme katika simu kwaajili ya kufuatilia message, na simu za watu,aidha mtu huyo mwenye namba 0757039596 anakuhitaji umtumie namba za watu halafu unafanya malipo ya kiasi cha shilingi 52900/= kwa njia ya benki au M pesa au dola za Marekani 23 kwa visacard,vilevile ukifanya malipo atakudanganya anaweka programme ili akutumie link baada ya hapo anakuzuia kabisa kufanya mawasiliano nae kwa kukublock ,aidha ninaliomba jeshi la polisi na mamlaka ya mawasiliano nchini kukabiliana na hilo kundi la kitapeli.