Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Hawa wadai wangu wanapenda kunikumbusha kwa SMS hasa hawa Branch. Leo natangaza mwisho wao kwani line yangu inafungwa muda si mrefu sijui watamtumia nani SMS.
Ikibidi TCRA yakwangu fungeni sasahivi, za wengine subirini sa 6 usiku. Ahsante NIDA kwa kutusaidia.
Poleni M-Power poleni Branch, Poleni TALA na wengine.
Ikibidi TCRA yakwangu fungeni sasahivi, za wengine subirini sa 6 usiku. Ahsante NIDA kwa kutusaidia.
Poleni M-Power poleni Branch, Poleni TALA na wengine.