Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
SafiNaunga mkono hoja
Unabishana na mamlaka?............Na hafungi sasa sijui utatokea wapi!!!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Zile line zinazodaiwa hazitafungwa, hii ni official statement.Hawa wadai wangu wanapenda kunikumbusha kwa SMS hasa hawa Branch. Leo natangaza mwisho wao kwani line yangu inafungwa muda si mrefu sijui watamtumia nani SMS.
Ikibidi TCRA yakwangu fungeni sasahivi, za wengine subirini sa 6 usiku. Ahsante NIDA kwa kutusaidia.
Poleni M-Power poleni Branch, Poleni TALA na wengine.