Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Siyo kila mtu anayesema ana mamlaka ya kufanya jambo anayo mamlaka hayo.
Kile kipindi cha phone-in. Watu walikuwa wanapiga kutoa maoni yao kuhusu kile kipindi. TCRA iliwasikiliza watu wale? Wale watu walikuwa na shukrani sana kwa Polepole.
Polepole alikuwa anaongea maneno kama vile ," Mwajibishe kiongozi wa serikali ya mtaa". Hayo ndiyo mambo waliyokuwa wanakwenda kusikiliza kwenye kile
kipindi.
Mtu anayeongea namna hiyo,TCRA haina malmlaka ya kumzuia.
Ndiyo legacy ya Magufuli. Magufuli alipochaguliwa kuiongoza nchi,dikteta alikuwa mmoja tu Tanzania. Alipokufa,sasa kuna utitiri wa madikteta.
Yule mtu aliyekuwa anamkoromea Polepole,he did not seem to me to be a very clever guy. He was stammering.