Jizi lingine hili hapa.Walipoleta utaratibu wa kusajiri kwa alama za vidole walituambia ni kwasababu ya kudhibiti matapeli, ila kadri siku zinavyoendelea ndivyo wanavyoongezeka.
Je, mfumo ulikuwa wa upigaji umeshindwa kuwadhibiti? Au TCRA wanashirikiana na hawa wapigaji? Je, kwanini wasiweke utaratibu rahisi kabisa wa kuzirepoti hizi namba?
Au kwanini kusiwe na call centre ya kureport hizi namba? Yaani upige simu wazame kwenye sms zako wajiridhishe wapige ban, mbona kama ni rahisi tu, wanafeli wapi?
Hahaha wenyewe wanaita code, kuna majemba huko majuu wanabuni aina ya upigaji (code) kisha inauzwa kwa wadau wa nchi wanachamasasa matapeli wenyewe ni akina Michael scofield, Alex Mahon, ,Tommy Shelby, professor au Jason Stathum unadhani TCRA itawaweza ?
Cha ajabu hizi namba huwa hazipatikanagi, unaweza ambiwa haipo huku imekutumia msgJizi lingine hili hapa.
View attachment 2879264
Ndio maana tuna amini wanashirikianaHata makampuni ya simu nayo ni majizi tu! Mteja kakosea kutuma fedha , unayajulisha yanakwambia pesa imeishatolewa!
Sasa hapo si ni wateja wao wawili hakikisha mwenye haki yake anapata. Makampuni ya simu yanajua kuna wakala mahususi wanaotumikq kutoa pesa karibu zote za wizi
Tcra na no yao ya 1540 ukitaka kujua ni usanii ukiwatumia wanajibu tutumie no iliyokutumia! Kisha utasoma tayari tumeisha wajulisha so what!