TCRA imetoa mwongozo wa maudhui ya vipindi vya redio na televisheni kipindi hiki cha maombolezo ya kitaifa

TCRA imetoa mwongozo wa maudhui ya vipindi vya redio na televisheni kipindi hiki cha maombolezo ya kitaifa

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
TCRA imetoa mwongozo wa maudhui ya vipindi vya redio na televisheni kipindi cha maombolezo ya kitaifa ambapo vipindi vinatakiwa kuwa vya maombolezo na vituo vya kijamii na ki-wilaya vijiunge na TBC au kituo chenye leseni ya kitaifa ili kuendelea kuwahabarisha Wananchi.
 
Ila kati ya watu waliokuwa wametupanda kichwani wakati wa uhai wa yule bwana ni hawa tcra
 
Bora wakati huu....netflix spotify zipo. Dah... maombolezo ya Nyerere tulikuwa tunasikiliza Komba na TOT siku 30.
 
Back
Top Bottom