TCRA imetoa mwongozo wa maudhui ya vipindi vya redio na televisheni kipindi cha maombolezo ya kitaifa ambapo vipindi vinatakiwa kuwa vya maombolezo na vituo vya kijamii na ki-wilaya vijiunge na TBC au kituo chenye leseni ya kitaifa ili kuendelea kuwahabarisha Wananchi.
TCRA bado tu hamjajifunza? Yaani siku 14 tunasikiliza Matonya-Dunia Mpito ,Crazy GK-Tutakukumbuka,Linah Sanga-Lonely,Madee-Kazi yake mola,Ksal-Mkiwa ,Jebby-Swaiba etc??