Nilidhani ni simu yangu,kumbe ni mtandao,inakera sanaHuu mtandao wa Airtel ni muda wa zaidi ya wiki sasa mawasiliano yake yamekuwa mabovu sana.
Unapiga huwezi kusikilizana kabisa kwani simu aidha ikatike au ikorome kama redio iliyokosa mawimbi .
Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua kwani ni sawa na kuibiwa pesa zetu za vocha huku tukikosa mawasiliano bora.
MMMM KIVIPIHv lile tatizo la Airtel money upande wa kureset password walishaboresha? Mara ya mwisho kuitumia ilikuwa 2011 baada ya kugundua kuwa unaweza ukabadili password hata kama sio mmiliki na ukasepa na salio lote.