Kwa mujibu wa Tume ya Mawasiliano Tanzania, kampuni zote zinazotoa huduma ya Television baada ya kuingia katika mfumo wa Digitali, zinatakiwa kuwa na chanel ambazo si za kulipia (free channels) ambazo zimeainishwa na tume. Cha kushangaza hadi sasa ZCTV haijabadili mfumo wake kiasi kwamba mteja asipolipia hata hizo free channels hapati. hii imekaaje enyi wadau wa mawsiliano?.