TCRA kwanini Efm Radio isiitwe tu Yanga FM?

Nisamehe sana babake nasreen ulistahili LIKES 13 lakini nimeweza kukupa moja tu. Kabila gani wewe unayeongea ukweli bila woga?
 
Acha kuchachawa kijana, tulia hivyo hivyo, majibu ya FIFA yakirudi... uje tena hapa uandike huu upupu..!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ... acha hizo Mkuu mbona unaniua sasa kimtindo?
Siku hizi una mahaba sana na Yanga, kiasi hutaki wengine waitaje. Sport Pesa wameandaa michuano tuwatie adabu kidogo kabla ya kukutana kwenye Community Shield. Huu mwaka utatufukuza Tanzania tusipojifunza kunyamaza
 
kwanini na gazeti la Champions lisiitwe tuu Fifa fc aka Dhl fc
 
Bado hujatupatia mrejesho wa Barua ya FIFA kwenda Simba SC kupitia DHL, sasa umekuja tena na kichekesho kingine!! Tulia Sindano ya Efm ikuingie, 91.3 Efm Mwanza ni KwiKwi!
 
Bado hujatupatia mrejesho wa Barua ya FIFA kwenda Simba SC kupitia DHL, sasa umekuja tena na kichekesho kingine!! Tulia Sindano ya Efm ikuingie, 91.3 Efm Mwanza ni KwiKwi!
Wazoee tu mkuu, kila mwezi lazima waamke na malalamiko mapya.
 
Nasikia wana mpango wa kumwajiri Haji Manara
 
Mi wabankera sana hawa jamaa kutwa wao kulalamika tuuuuu km mtoto wa kambo!
 
Sasa umelazimishwa kusikiliza hiyo redio aiseee!? Yaani unalalamika utafikiri ni chakula cha roho!
Wao kila mtangazaji anaipendelea yanga anaiponda simba kila redio inaipendelea yanga inaiponda simba nakumbuka magic ishawahi kuletwa hmu clouds pia leo efm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…