ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
TCRA hivi awa matapeli kutumia simu mbona bado wapo wengí na sasa wanazidi kuongezeka si line tunasajiri na alama za vidole iweje waendelee kuwepo.
Leo naona tuanze kuolozesha humu namba za matapeli wanautuma msg zile za waganga na mtoto wako kaumia tupo hospital na wale wanajifanya huduma kwa mteja ebu tuweke namba tusaidiane ata mtu usave kwenye simu ikiita Unajua mwizi au ata TCRA wanaweza kuzifanyia kazi.