TCRA mjitathmini adhabu zenu

Wasafi TV wamepewa adhabu kubwa sana,mambo ya kufungiwa kwa makosa ya MPUUZI mmoja haifai kuchukuliwa hatua Media yote ,ilipaswa wachukuliwe hatua kiongozi wa matangazo hayo ya live na pia giggy money basi na TV ipigwe fine kwa kutowapiga msasasa waongozaji kwenye kurusha matangazo!! Imagine wadhamini waliosponsor vipindi vyake inakuwaje? Miezi 6 unafikiri watangazaji watalipwa kweli salary vizuri? Multiplier effect yake wameifikiria?
 
Asante kwa hyo link[emoji847][emoji847][emoji847]
 
maadili gani ikiwa we mwenyewe humu unaongea utumbo tupu.
Kwani umeona mie nimekiuka sheria na matakwa ya hiyo taasisi?
Ukiona sijawajibishwa basi jua sijakiuka taratibu za maadili.
Poleeeeh kwa kuteseka. Maumivu yakizidi muone Daktari msieeeeew
 
Kwani umeona mie nimekiuka sheria na matakwa ya hiyo taasisi?
Ukiona sijawajibishwa basi jua sijakiuka taratibu za maadili.
Poleeeeh kwa kuteseka. Maumivu yakizidi muone Daktari msieeeeew
🤔😙😙😙
 
Kwa kipindi hicho ambacho wamesimama kwa kufungiwa na hawazalishi chochote je, kodi za serikali pia zinasimama au zipo pale pale?

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…