Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Kwekweli Leo nilikuwa na mihadi na demu wangu mpya sijawahi kula hata siku moja keshakula vyangu leo ijumaa tumepanga tukatiane namcheki muda huu naambiwa namba nayopiga imezuiliwa kupokea simu kwa sasa nijaribu tena baadae Wakati Jana tumapanga vizuri tu hii hari inaniumiza mno kwakweli, nahivi nshapakaa mkongo mie leo ntafanyaje kwakweli 😥😥😥😥