Kwa uelewa wangu, mitandao yote mikubwa ina matatizo, na hakuna hata mmoja wao una utamaduni wa kurudi kwa wateja na kuwataka radhi pindi tatizo linapotokea.
GOOD Mzawa Halisi, kuna Campany moja la Simu linalojulikana Ndio lina network eti Nzuri Limefuta promotion yake ya kufurahi hvyo kwenye mikoa mingi ya Tz