Utablock namba ngapi... Namba za matangazo ni nyingi ajabGuys kama mnatumia smartphone za kisasa mbona mnaweza kublock hizo messages. Pakua app ya message ya google then click hiyo message kisha bofya block & report spam.. kwishaaaa.
Utablock namba ngapi... Namba za matangazo ni nyingi ajab
Unapoblock sms aziingii kimya kimya na pale juu kile kibahasha hakiji kikikukupa taarifa?Block meseji zao kwa app ya google message.View attachment 1334700
View attachment 1334698
View attachment 1334701
Mimi nmeblock zote za tatu mzuka za pesa Ni mpesa na cjui zile za kubet.... Zinaingia kwa cm yangu ila bila notification yoyote na Wala haziendi inbox....Mkuu tupe njia uliyotumia na hazikufikii hizo sms, maana nilijaribu kublock ila zinaingia kimya kimya na pale juu unakiona kibahasha kikikukupa taarifa.
Hakiju.... Kunakua hamna notification yoyoteUnapoblock sms aziingii kimya kimya na pale juu kile kibahasha hakiji kikikukupa taarifa?
Meseji huzioni kabisa wala kibahasha hukioni cha hizo meseji ulizoblock.Unapoblock sms aziingii kimya kimya na pale juu kile kibahasha hakiji kikikukupa taarifa?