MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Ebwana eee kwa yule anayeweza kukopa kwenye simu muda ndio huu kopa kopa kopa kwa bidii mlipaji yupo kwa maana fedha zipo pale TCRA za kulipa hayo madeni ,hakuna kampuni itakayokubali hasara kirahisi, Mpawa tu wana kama bilions of money hazijarejeshwa, ebwana wekeni mikakati kupata vitambulisho, toeni elimu na umuhimu kuwa na kitambulisho cha NIDA na siyo kuwatisha watu kufunga simcard ni uvunjifu wa haki za kiraia
Kulikuwa na usajili wakala anapiga simu ndipo simcard inasajiliwa ukafutwa
Ukaja usajili wa kupiga picha unaenda kufutwa
Unakuja usajili wa DOLe hautakuwa na tija kwa sababu mawakala wao wanajali NJAA tu, Ulaya simcard haziuzwi kama njugu kama hapa Bongo