Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airtel ni janga,line yangu nimehakiki lakin kila siku naoigiwa kelele za kuhakikisha kwa alama za vidole.
Kifurushi cha 500 ni mb 150 lakini kwa bei hiyo hiyo kwa mkopo mb 300 hii imekaaje?
Usiku bora halotel 1500 unltd data mzigo 4G MB10/s wakat Airtel ikijitahidi sana 1.5MB/sWanakile kifurushi chao cha usiku 1500 kwa 10GB. Jiunge sasa km utamaliza hata mb 200.
Airtel ni janga la kitaifa.
Usiku bora halotel 1500 unltd data mzigo 4G MB10/s wakat Airtel ikijitahidi sana 1.5MB/s
Sijajua elimu yako siwezi kukulaumu,kwani unafikiri humu unasoma wew tu?tcra au Airtel hawaingii humu?think outside the boxKwa hiyo ukilalamika hapa ndio utapata suluhisho. Tujifunze kufuata utaratibu na kuacha kulalama na kupoteza muda kwa mambo ya msingi. Nenda kwa mtoa huduma wako utatuliwe shida yako. Sasa ukileta suala lako hapa sisi ndo Airtel? Sisi ndio TCRA?. Asheeh!!
Acha makasiriko this platform was meant for socialising wewe unakuja unahororojoka na malalamiko yako humu; unaambiwa ukweli unalialia, au umesikia JF ni Airtel au TCRA, humu tutakuzodoa tu kama hivi na ukikasirika zaidi ndo tunapiga spana tena na tena.Sijajua elimu yako siwezi kukulaumu,kwani unafikiri humu unasoma wew tu?tcra au Airtel hawaingii humu?think outside the box
You know what! This is what you had to tell me before,you gave a lesson to not only me but also other members,thanksAcha makasiriko this platform was meant for socialising wewe unakuja unahororojoka na malalamiko yako humu; unaambiwa ukweli unalialia, au umesikia JF ni Airtel au TCRA, humu tutakuzodoa tu kama hivi na ukikasirika zaidi ndo tunapiga spana tena na tena.
Sikia, piga simu # 100 huko Airtel help desk watakusaidia alternatively andika malalamiko yako ya huduma duni za MNO wako kwenda TCRA kisha tuma via email kwa malalamiko@tcra.go.tz nakala kwa dg@tcra.go.tz.
Kujifunza zaidi soma mwongozo wa malalamiko yako juu ya huduma za mawasiliano.
wanabodi washafahamu who has mental deprivations. Una kila dalili za OBSESSIVE-COMPLAINING DISORDER (OCD) you might need some psychiatric consultations.
N'yadikwa
As far as internet bundles is concerned in this country ni voda na Halotel angalau...Wanakile kifurushi chao cha usiku 1500 kwa 10GB. Jiunge sasa km utamaliza hata mb 200.
Airtel ni janga la kitaifa.