Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Shy nimeangalia kwenye ile tovuti yao TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority wala hakuna kitu.ANGALIA KATIKA TOVUTI YAO TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority PIA UNAWEZA KUWAANDIKIA MASWALI WATAKUJIBU AU TEMBELEA MWENYEWE MAWASILIANO HOUSE PALE AGHAKHAN
Wajameni hivi lile tangazo la tcra kuhusu mwisho wa matumizi ya analog radio na kwamba radio zote ziwe za digital system ni lini mwisho wa kutumia hizo analog?
Nakumbuka kusikia TCRA wakitoa tangazo kwamba mwisho wa kutumia hii analog ni mwaka fulani, na kwamba digital system tu ndiyo zitakuwa zikitumika. Je nani anakumbuka ni mwaka gani?
Deny allFollow this link below you will see the press release from TCRA about the switchover to digital broadcasting.
[media]http://www.tcra.go.tz/press/digitalBroadcasting.pdf[/media]