Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

"...Unyenyekevu na Heshima..." sifa hizi zilianza lini, na kikomo chake kitakuwa baada ya uchaguzi?
 
Uongo
 
Kwa nini wanaopinga wahame wakati hii ni nchi yetu wote na hakuna mwenye hatimiliki nayo?
Natamani mnaopinga wote muhame nchi muende mkaishi Congo au muende Rwanda mkaishi huko kwa muda fulani.
 
Halafu ukipita mitandaoni utaskia Chama Cha Mapumziko wanavyojinasibu kwamba wanakubalika! SMH
 
Kwa nini wanaopinga wahame wakati hii ni nchi yetu wote na hakuna mwenye hatimiliki nayo?
Ni vibaraka wa wabaya wetu, ni watumikia mabeberu, tunataka tung’oe vibaraka wote tubaki na wapinzani wazalendo. Mgekuwa ni watu kutoa hoja tungefurahi ila hampo hivyo ndiyo maana ni muhimu kuwateketeza enyi vibaraka kwa maslahi mapana ya Tanzania.
 
Ndio ctaki huo upumbavu wa wanasiasa bila consent yangu, ctaki kabisa that's simple hayo maelezo mengine ni useless kwangu hayana nafasi.
Read terms and conditions, read privacy policy otherwise, tupa hio line tengeza mtandao wako. Usituekee kelele. Yaani unatumia huduma na ishasema itagawa namba yako afu unalia hutaki namba yako igaiwe LOL!
 
Ninakubaliana nawe juu ya hili.

Lakini kuna shida juu ya huyo mwenye "heshima na unyeyekevu".
Je ujumbe wake huu watu wanaoupokea hawaoni kuwa una udanganyifu; na kama wakiona ni hadaa na ulaghai, ujumbe huo utakuwa umetimiza lengo lake?

Inawezekana sana huu ujumbe ukawa na matokeo hasi.
 
Eeenh Heeee. LOOoo.

Ujumbe mzito sana huu kutoka kwako. Bila shaka hali inazidi kuwa ngumu!
 
Read terms and conditions, read privacy policy otherwise, tupa hio line tengeza mtandao wako. Usituekee kelele. Yaani unatumia huduma na ishasema itagawa namba yako afu unalia hutaki namba yako igaiwe LOL!
Wewe ndio una kelele hutaki kuelewa siku zote haya makapuni hawakutumii jambo mojakwa moja mpaka wewe ukubaliane iweje wanitumie wanasiasa. Shida sio kusoma, shida why wa force kwa watu, hebu kuwa muelewa, Kwanza usinichoshe Mimi, mfyuuuuu
 
Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.

Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Kwa Nini usiende wewe
Unatanani wenzio wafanye wewe hapana unakaa pembeni usubiri wenzio wafanye
Ujinga usiio na kipimo

Twende na JPM


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani advertisement lazima iwe biashara
Ndio ni biashara most hutuma labda chagua wimbo huu kujiunga bonyeza number flani ni hiyari sio hii kutumiana Mambo ya siasa by force, wengine hatutaki kabisa hayo mambo
 
Kwani kwenye kampeni za wazi si hata wanachama was Chadema huwa wanamsikia magu akihutubia
Kwa hyo ukipata msg ya kumpigia debe magu na hutaki kumpigia si usome na uifute
Msg itakutoa roho?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wajinga hao wanajua kuongea tu

Waanfikiri waliotuma hzo msg hawajui Sheria Lila wao ndio wataalamu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini unasema ni vibaraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…