Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Hiyo ni njia moja wapo ya kufanya kampeni sio lazima iwe jukwaani tu, wala hakuna kosa hapo acheni jazba hata wagombea wenu wanaweza kufanya hayo wakitaka.
 
Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.

Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
NECCCM Tumeccm wana hisa huko, CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
 
Unataka watu ndo waende wakushtakie? Mtumeni lissu aende kama jambo dogo kama hilo nalo mnashindwa kufungua file, eti nyie ndo mnategemewa kuingia barabarani.
2020 mambo mengi yatabadilika kumbuka watu wametaabika kwa miaka mitano
 
Mvunja sheria mkuu ni CCM na serekali yake.
Hii week inayoanza itakuwa ngumu sana,tarajieni jumbe kama hizi nyingi, ngumu, za ajabu na zenye kodi number za kigeni. Zaidi ya hayo mitandao it's jam au kuzima kabisa.
Kwa uzoefu wangu na chaguzi kuu mbili zilizo pita. Jamii forums huwa inashambuliwa kipindi cha uchaguzi mkuu, hasa ktk siku ya kupiga kura hadi mshindi kutangazwa.
 
Hiyo huduma inalipiwa kama huduma zingine na sio kwamba voda wametoa namba kwa wateja
 
Magufuli kupitia Polisiccm alijua anapendwa na pia kupitia polepole kumdanganya wakinunua wapinzani wataidhoofisha chadema
 
Hiyo huduma inalipiwa kama huduma zingine na sio kwamba voda wametoa namba kwa wateja
Hivi mnaosema huduma inalipiwa mnamaanisha nini hasa?
Mimi nina kijibiashara changu kwa hiyo naweza kwenda Airtel nikalipe watanzania wote mtumiwe tangazo la biashara yangu???
 
Hiyo ni njia moja wapo ya kufanya kampeni sio lazima iwe jukwaani tu, wala hakuna kosa hapo acheni jazba hata wagombea wenu wanaweza kufanya hayo wakitaka.
CCM si wanatumia NECCCM Tumeccm Polisiccm kuwahujumu chadema sasa wanafanya kampeni za nini wakati wanajua kuwa watafanya uchakachuaji mkubwa na kupora haki za wapiga kura kama walivyofanya kwenye ubunge kupita bila kupingwa kwa njia haramu za kishetani
 
Umevuta Cha arusha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…