Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

[emoji3]
 
Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.

Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Mahakama zipo?
 
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
Kama mnajua hivyo kwanini ,mnaimba nyimbo za ushindi,tena tutashinda vibaya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo makampuni mengine yakifanya kosa na hayo makampuni ya simu nao wanaruhusiwa kufanya kosa hilo hilo?
 
Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.

Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Makampuni yote mawili ama serikali ama CCM ni wamiliki.
 
Kazi nzuri sana October 28th kura za ndio ni kwa JPM.

Tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura October 28th na niwasihi tumpigie Mzalendo JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ndio ivo kaka, hakuna namna hapo labda uache kutumia mtandao wao..
Usikubali kudhulimiwa haki yako kirahisi hivyo. Hapo nimeonesha kwenye hizo T & C's za Voda wenyewe wanasema watatoa taarifa zako kwa wabia wao pale watakapopata idhini toka kwa mteja wao, sasa mbona wanatoa hizo taarifa za wateja kwa CCM bila kupata idhini toka kwa wateja wao?
 
Subiri 2060,tundu lissu akiwa lais ndio utapewa hiyo haki ,hizi ni zama za chama kubwa CCM DUME#
 
Kwa sasa amekua mpole sana, miaka mitano katunyanyasa...Huyu kumpa kura basi tu
Ngoja uchaguzi uishe hapo mwezi wa kuanzia kumi na moja atasema hapangiwi na yoyote, Ila akirudi abadilike na yeye sio watu wamekubwa na janga badala awape pole anasema hakuleta tetemeko, watu wanavunjiwa nyumba Yuko kimya vile hawakumpigia kura. I hope next term atabadilika awe ana sympathize na Raia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…