Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Ndio ctaki huo upumbavu wa wanasiasa bila consent yangu, ctaki kabisa that's simple hayo maelezo mengine ni useless kwangu hayana nafasi.
 
Jiongeze tu, Hayo makelele ya kampeni tunayosikia huko barabarani sio kuingilia uhuru wa mtu!?.
Unataka iwe kwamba kila mgombea awafuate wale wa chama chake au wale wanaompenda tu!?, kama mtu kakuomba kura kwa message ni jukumu lako wewe kukataa kama huridhiki na huyo mgombea huu ni wakati wa kampeni.

Mwambieni huyo Tundu naye akaturushie tu hayo mamessage haidhuru.
 
Safi sana umekumbusha kitu muhimu sana
 
Nimeenda kushitaki ninafungwa kwa kosa gani?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba wamefanya matangazo na mitandao ya simu wakalipia huduma, hata wewe unaweza kufanya
Mmmh hii yawezekana?! Mbona simu zingejam kwa matangazo km ni hivyo. Maana kila kampuni ingeenda Airtel/tigo.../voda kutangaza
 
Nileteeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ina maana umma wote ule ulikuwa umelipwa? maana bora ingekuwa mvua wakati inanyesha wengine waliondoka na hao waliyobaki kunyeshewa ndio tuseme walifanya hivyo kwa sababu walilipwa.
Mkuu ukishangaa ya Magu utayaona ya Mbatia.
Kuna mjumbe alikua na list yake kabisa. Kahakikisha watu wake wapo pale yeye kasepa mwanae alikua anaumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…