TCRA na Wizara ya Afya, mnamsikia huyu daktari anayejitangaza kupitia Kiss FM 98.9?

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
1,213
Reaction score
1,918
Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya..

Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana nilijiuliza inawezekanaje WIZARA YA AFYA ya nchi yoyote hapa duniani kumpa mtu kama huyu CHETI cha kutibu watu kwa KNOWLEDGE ya ajabu aliyonayo kichwani.. theory alizokuwa akizitema kuhusiana na UGONJWA WA PID ni za ajabu kabisa..Ina maana watu wengi wanamezeshwa ELIMU za ajabu ukichukulia kwamba nyakati hizi magonjwa yanayohusiana na MFUMO WA UZAZI hasa kwa wanawake imekuwa BIASHARA kubwa sana.

Kwanza kutamka kirefu cha "PID" yenyewe ambayo ni "PELVIC INFLAMMATORY DISEASE" ilikuwa inamtatiza kiasi kwamba mara nyingi alikuwa kitaja neno "PELVIC" akimaanisha PID... Kuna kitu alikuwa akikiita YURITA BLADA sasa sijui alitaka kusema URINARY BLADDER au URETERS???....
Aliponipiga "KO" ni pale kwenye kuelezea uhusiano kati ya PID na Kansa ya Kizazi, yaani anaonekana ana kaufahamu flani wa nje nje kuhusiana na mambo ya Afya ila hana hata chembe ya Elimu ya Afya maana ni kichekesho,,,, zaidi anaonekana ni muuza dawa za TIBA MBADALA ambaye analazamisha aonekane ni TABIBU...

Kwakweli ni vitu vingi sana alivyokuwa akivitolea maelezo potofu na hata meseji za watu alizokuwa akijibu,, najiuliza ujasiri alionao wa kwenda redioni na kuongelea vitu asivyokuwa na ELIMU nayo tena mbaya zaidi ni vitu vinavyohusiana na AFYA YA BINADAMU,,,

Sasa alipoaniacha na kicheko mpaka muda huu sijamwelewa alichokuwa anaelezea jinsi UTI inavyobadilika kuwa PID. Yawezekana kweli dawa zao zinatibu hiyo PID maana kuna njia nyingi za kupata hizo dawa siku hizi ila TAARIFA NA ELIMU YA AFYA wanayoitoa ni POTOFU na ya KUGHUSHI,, sina uhakika ila nafkiri hata TCRA nao wanahusika kusimamia mambo kama haya ya kulishana MATANGO PORI.
 
Akina dokta "year"
 
Mwache bana hatafuti utajiri huyo ( kama wanaouza ARVs na chanjo za UVIKO - 19 ) anaganga njaa tu huyoo.
 
Back
Top Bottom