lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Nimekuwa mara nyingi nikitumiwa ujumbe wa WIZI na ULAGHAI kupitia simu yangu ya mkononi.
Kutokana na kero hii TCRA wameweka utaratibu wa kureport kadhia hii kupitia no 1540 na wanajibu kwa sms muda huo huo.
Wanakiri kupokea taarifa yako na kuahidi KUISHUGHULIKIA . Ombi langu kwako warudishe MREJESHO kwa muhusika .