ASIE NA MAKUU
Member
- Aug 10, 2021
- 45
- 66
Kama sio mhanga wa hii kadhia basi moja wa ndugu au rafiki yako atakuwa amekutana nayo .Kumekuwa na utapeli unaoshika kasi hasa mtandao wa facebook .
Matapeli wanaweza kuingia kwenye account yako facebook kisha wanapost kuwa umejishindia promotion .Na walivyo wajinga wanaenda sehemu ya comment wanaanza kutoa shuhuda kuwa wamefanikiwa baada ya kujiunga .
Ukitoa comment inayokinzana na wao ,wanakufungia hivyo unashindwa kukomment mara ya pili, pia wanafuata hio comment yako.Pia wanakutana kipengele cha SHARE ili usiwatag marafiki zako endapo utataka kufanya hivyo.
Tunawaomba TCRA mtulinde na hawa maharamia ikiwezekana muwakamate na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria ,kwa kweli wanakwaza sana watu.
Wakati mwingine unajikuta wametuma picha za uchi jambo ambalo ni kinyume na maadili yetu pia kukuchafua katika jamii inayokuzunguka.
Ahsanteni najua TCRA watalichukua na kulifanyia kazi, pia naomba itoe tamko kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu aina hii ya utapeli,na kuchukua hatua madhubuti.