TCRA, NIDA waanika siri kukwama usajili laini

Pamoja na maelezo hayo ya NIDA ila ukweli ni kwamba na wao ni tatizo tena kubwa tu.

Kwa hiyo na ucheleweshwaji wa kutoa vitambulisho shida ni wananchi wenyewe kutokuvifuata katani ama kujiandikisha zaidi ya mara moja?

Wao wameshatoa IDs ngapi siyo namba huko katani hadi sasa?
 
Kwa hiyo lawama zote kwa John kwa vile aliongeza siku 20 na kusababisha wimbi la uhalifu na utapeli wa mamilioni? Naona aliyesema hivyo hajipendi na kazi yake.
 

Hii serikali yanaongea yara yara yara yara...mpaka yanachosha

Nobody cares what you say

Hakuna motivation

Hakuna mwanasiasa wa kuvutia watu na kushawishi na watu hawana raha

Who cares
 
Hii nchi ina laana, hakuna jambo litalofanikiwa. Mimi hata line sijasajili and i swear to you hakuna line itayofungiwa. Period, kama huamini nikumbushe mwezi ujao
Tatizo la nchi hii ni kutokuwa na “mifumo”. Mambo mengi yanaendeshwa kwa matamshi ya wanasiasa.
 
Software aliyoinunua Lau Masha ilikuwa hivyo, alivyotupwa nje uwaziri ikachakachuliwa akina Heche walikoroma bungeni nusura wapasuke makoo wakaambulia kuchekwa na wagonga meza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…