TCRA pigeni faini Mpesa na Airtel kwa kushindwa kutoa huduma kwa wateja tangua juzi. Wananchi wanashindwa kuburudika na sikukuu

TCRA pigeni faini Mpesa na Airtel kwa kushindwa kutoa huduma kwa wateja tangua juzi. Wananchi wanashindwa kuburudika na sikukuu

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa

Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini.

Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona hawakuwahi kuleta ujinga huu wakati wa magufuli.
 
Hao TCRA wakikwambia pesa wanazoingiza kwa tozo za hizo huduma hutatamani kuzifunga hata kama wewe ndo ungekua TCRA
 
Wadau mitandao ya Airtel na Voda I asumbua wateja sbb haiwezi kupokea pesa kutika Benk nk au kutuma peaa ,,matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fyngueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini.Vitendo wanavyofanya wanmsharau Rais Samia?.Mbona hawakuwahi kuleta ujinga huu wakati wa magufuri.
Kwa uandishi huo hawawezi kukuelewa
 
Wamenitia loss Hawa Mpesa Vodacom, nimetoa ela kwenye bank naweka kwa Mpesa, ela imetoka bank na salio limekatwa ila kwa Mpesa hamna salio nikafeli sana mishe zangu
 
Back
Top Bottom