TCRA: Polepole Tv ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji habari

Acha ubwege wewe. Nyerere alimwambia nani kwenye CCM/TANU yake mwenyewe aliyekuwa anataka kummaliza? Una uwezo wa kuvuka barabara salama wewe mwenyewe kweli?
Lissu alikopi toka kwa Nyerere hayo maneno.
Mbona kuna mabwege wengi siku hizi Jf?
 
Safi sana wakati yule sadist anatunga misheria ya ajabu kama hii Polepole alifikiri yeye hazitamgusa kama vipi apambane na hali yake
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Leo hii tisiaraei wanamkoromea bw poleple?
 
Hizi sheria zilitungwa kipindi Pole Pole yuko safe sana na alisahau yeye kushawishi kuwa na sheria nzuri zilizo fair, ona sasa na yeye inakula kwake, Sasa hivi, tukiwa na vyeo I'm madaraka yapasa kutetea masilahi mapana ya nchi yanayogusa wananchi na sio kulinda watawala.
 
Lakini kiroboto nae ni mkorofi mbona kipndi kile cha godfather kipindi hicho kilikuwa kikiitwa papo kwa papo na kilijikita sn katika kutatua changamoto za watu ila baada ya godfather kusepa anakuja na shule ya uongozi kwa ajili ya kujifanya mchambuzi wa mambo ya serkali
 
Karma
 
Hata bi Chau anatangaza vipi kumzuia polepale
 
Ndo maana katiba mpya ni muhimu
 
Huyu jamaa angetulia kama alivyofanya Bashiru sijui angepungukiwa nini
 
Aisee wa africa itachukua muda sana kujikomboa. Basi wavipige marufuku vitabu vyote vya wazungu vinavyoelezea namna ambavyo wa africa wachache wanavyotumika na mataifa ya nje kuhujumu uchumi wa africa. Inasikitisha sana tena sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…