TCRA: Polepole Tv ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji habari

Hayo maneno yalisemwa na Lissu zamani sana baada ya Nyerere kufariki. Ukisema Lissu sijui utapungukiwa nini?
We jamaa mbishi halafu mfinyu wa taarifa
Hiyo sio kauli ya Nyerere akiongea na watanzania dhidi ya wazanzibar?
 
Umeachanga magarasa, ndugu. Ni hivi:
Lissu: "Dikteta uchwara Magufuli akimaliza sisi atakuja kwenu (Polepole, Nape, Bashite, wananchi...). Hakuna mtu atakuwa salama"
Nyerere: "Ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu. Ukila nyama ya mtu hauachi... 'Wao Watanganyika, sisi Wazanzibari... halafu wakimaliza, 'Wao Wapemba sisi Waunguja'... na hatimaye, 'Wao Wazanzibara sisi Wazanzibari'"
babukijana
We jamaa mbishi halafu mfinyu wa taarifa
Hiyo sio kauli ya Nyerere akiongea na watanzania dhidi ya wazanzibar?
 

Mbwa kala mbwa
 

Zilitungwa na January Makamba
 
Hizi za kufungia vyombo zikatekelezwa awamu ya jiwe yeye mwenye influence hakutaka kubadili chochote kile Matokeo ndio haya

Kwahiyo unaona ni sawa. Sababu ni jiwe. Jiwe alithibiti vitu sababu alikuwa na kasi kuisaidia hii nchi.

Mwenyewe alijua ana muda mchache kusaidia kuwasaidia wengi kama alipotokea mkulima, maskini, mshamba. Watanzania wengi.

Aliweka vitu kuwasaidia Maskini, Afya, elimu, biashara, nafasi serikalini, miundombinu, sheria ziwalinde hata kwa muda.

Baada ya Polepole, wataenda mbali hadi labda hata kuifungia Jamii forums huko mbele, Maoni yako Twitter, Insta, Facebook kuthibitiwa. Fikiria.
 
Sijaona alichofanya jiwe Cha maana, zaidi ya watu kuishi kwa hofu na mashaka na aliuua kabisa mzunguko wa hela mtaani, hao hao kina Pole Pole walizuia uhuru wa maoni walifungia vyombo vya habari kwa kuwapa fine kubwa kubwa, I'm sure Pole angekuwa anamkosoa magufuli angepotezwa mazima
 

Elimu bure imesomesha zaidi ya watoto10 milioni. Vituo vya afya nchi nzima zimeokoa maisha. Barabara zimesaidia mkulima mazao yake kuuzuka.

Rushwa, ufisadi ulipungua, nidhamu serikalini, madawa, Umerudi kwa spidi kubwa.

Unafikiri Uraisi ni nini? Ni kitu lelemama?
 
Hao watoto gani walisoma bure, maana elimu ilikuwa duni Hadi hela za kuchapa mitihani zilikuwa hamna loh, hafu barabara nyingi mbona zilijengwa na kikwete kuunganisha nchi nzima, mikopo na ajira lukuki tangu aingie magufuli na hata Samia hawajafika robo ya kuajiri kama ilivokuwa kwa kikwete.
Pia wakulima wengi walikula hasara mfano wa korosho kwa serikali kuingilia kati, bado mbaazi sokoni.
 

Elimu bure waulize wazazi wote Tanzania iwesaidia kivipi.

Miundombinu ya Kikwete yote alisimamia JPM, akaiendeleza zaidi alipochukua madaraka.

Kuajiri lazima uwe na ajira, thabiti. kuongeza mishahara ufanye ukiangalia
fiscal,inflation policies. (Kodi, mfumuko wa bei, uwezo wa serikali)

Watoto gani walisoma bure? Tembelee mtaani, vijijini waulize? Wewe ulilipa kiasi gani kusoma?
 
Rais asiye create ajira kwa Raia wake hafai hata kidogo pia kusema elimu bure nyie wanasiasa mlipeleka wanenu kusoma huko maana majority mnapeleka watoto wenu Feza school huku kwa masikini mkiimba free education with poor facility za kufundishia.
Pia kikwete akimudu kuunganisha nchi magufuli alishindwa, kikwete alilipa Hadi wafanyakazi hewa na wenye vyeti fake huku Magu akiwa na blah blah tu, TRA wenyewe kwa kutokutumia akili kulifanya maelfu ya biashara yafungwe utasemaje huyo alijitahidi?
 

Kuna maji umeme, maji, nyumbani kwako leo?

Mshahara wako ukitoa makato ya kodi tozo,penshion. Unapata kiasi gani?

Mafuta,petrol, diesel, vifaa vya ujenzi, pembejeo, mbolea, bei ya vyakula alivithibiti vipi, mfumuko wa bei aliuthibiti vipi?

Tafakari kabla ya kujibu.
 
Hizi za kufungia vyombo zikatekelezwa awamu ya jiwe yeye mwenye influence hakutaka kubadili chochote kile Matokeo ndio haya

Hata JF ikifungwa leo na TCRA utasema hivyo? utakubali na kushabikia?
 

Hivi vigezo unaweza kuvitumia kufunga media,TV, kitu chochote kisichokuwa rafiki kwa serikali.

Kinachokoisoa JF ingifungiwa itasema itaonewa?
 
Mlikua wapi sikuzote acheni uchawa na unafki mapimbi nyie
 
Yes hvo vyote vipo, makato hayakwepeki hizi si ndo sera zenu Wana ccm miaka 60 ya uhuru nchi haeleweki siku zinavozidi kwenda heri ya jana
 
Hata JF ikifungwa leo na TCRA utasema hivyo? utakubali na kushabikia?
Haiwezi kufungwa, JF ilipata msuko suko enzi za mwendazake na Max aliwekwa ndani tukapaza sauti zetu kwa nguvu akaachiwa.
Ndio maana nasema ccm ijitafakari inapoamua kubaka uhuru wa wananchi wa kutoa maoni, na hata huyo Pole pole si wakuhurumiwa akiwa na cheo hakukemea uovu, Sasa yamkuta analalamika sana tu
 

Hakuna kitu kisichowezekana chini ya Jua kwa mamlaka ya Kifalme.

Unatoa Amri, vitu vinatekelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…