Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,240
Hii mitandao ya simu kila leo wanapunguza package zao ila kwa bei ile ile. Mfano Vodacom kwa mwezi wa Nov na Oct kwa malipo ya Tshs 50,000 nimekuta wamepunguza 3GB na dk 200. wamepunguzakama ifuatavyo;
~ 50,000 Nov Package unapata :1200minutes 500sms 20GB.
~ 50,000 Oct Package nilipata 1400min 500sms 23GB.
Kuna haja ya kufuatilia haya mambo, halafu hizo GB 23 zamani ulikuwa unaweza kaa nazo hata siku 15, ila siku izi hata siku 10 nyingi. Shida hapo kupima ni mpaka hao hao wataalamu.