Ilo nalo nenoJaribu Halotel... View attachment 2406996
Huu sasa ni uharamia na alafu bundle za siku zina kwisha fasta sijui kuna namna wanafinya uko kwa systemLengo lao lilikuwa kuzipunguza kabisa ila wakaona watu tutagomea hivyo wanazishisha kidogo kidogo , mkizoea wanashusha tena , mpaka ifike lowest , kwagharama ileile.
Hata hivyo lengo ni pesa inayozidi ipelekwe serikalini kuchangia maendeleo mbalimbali.
Mfano MB 500 ilikuwa Sh 500 ikijakuuzwa Sh. 1000 maana yake ni kwamba ile 500 iliyoongezwa ni mali ya serikali kupitia TCRA , ndio maana hawawakemei hao .
Serikali inahangaika sana kutafuta pesa , miradi inaelemea.