Tumelalamikia Kwa Mrefu Mno, Juu Ya Suala La Makampuni Ya Visimbuzi Kutuchaji Gharama Za Katazama Zile 5 Local Channel, Ambazo Tokea Awali Tuliambiwa Ni Za Bure,But Sasa Mwaka Na Nusu Tunalipishwa Tu Na TCRA Wako Kimyaaa. Tunaomba Kama Sera Ya TCRA Ya Kutolewa Matangazo Ya Hizo Channel 5 Za Nyumbani Bure Na Sasa Ni Kulipia, Basi Watutangazie Watanzania, Badala Ya Kukaa Kimyaaa Tu.