Kila siku watu wanalalamikia ujinga wakijinga wa haya makampuni ya simu lakini hawabadiliki.ifike mahali kila mtu achukue hatua anavyoweza kulingana na anavyoona.Mimi line yangu ya voda walikua wanakata hivyo hivyo bila sababu nikaona isiwe shida.maana line nilinunua mwenyewe na pesa natafuta mwenyewe nikaacha kuiwekea salio mwaka sasa.Wataamua wenyewe waifunge au waiache maana sina mpango wakulegeza masharti.Ata watu niliokua nawasiliana nao nawao wameisahau,sasa hivi inaingiza meseji za makampuni ya kubet na ujinga ujinga mwingine naziangalia tu.Tusipokua na uchungu na pesa zetu kidogo tunazozipata kamwe hatuwezi kua na kizazi kitakacho heshimu pesa ya umma.
tigo wao wnapita na tsh 99 kil cku ,ukiwacheki.. wanakwambia kun huduma cjui inaitwa game umejiunga wkt ukitzam hujwai kujiung ata ,unawaambia wakutoe ,wnasema wtakutoa after 24 hours but znapita izo saa ,makato ynaendlea kam kawaida!