Ilianza kama utani sasa hivi ni kweli jamaa wamelivalia njuga TCRA! Mi napenda sana kasimu kangu ka TECNO ni kasimu kenye usalama, SAMSUNG zinalipuka ovyo, sasahivi naogopa samsung yoyote ile ilimradi tu ni kampuni moja. Mtu akitaka anishawishi, labda anipe na fire extingisher.