mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
nasema wanatutania kwasababu sijawahi kupiga simu kwenda mtandao mwingine kwa shs 115Tshs achilia mbali hata uiweke VAT ya 50%.........kwanza kabisa TCRA kama chombo kinachodhibiti ubora na garama ilibidi wafanye research halisi ya bei iliyopo na kisha watupe maelezo kama hiyo ni bei elekezi au ni actual price..........vinginevyo hizi namba tutaendelea kuzisom ahapa na maumivu mtindo mmoja.........TCRA kuweni siriaz na kazi yenu.........maana kwa tshs 35 ina maana hata garama ya on-net (ndani ya mtandao husika) itakua kubwa kuliko kupiga other networks?wasintanie