C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Dec 7, 2011 #1 TCRA, tafadhali chunguza yanayolalamikiwa na wateja kuhusu tigo humu jamvini.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Dec 7, 2011 #2 Kusema ukweli tumelalamika sana juu ya huu mtandao, Kukaa kwao kimya ni dalili kua wametudharau wateja wao.
Kusema ukweli tumelalamika sana juu ya huu mtandao, Kukaa kwao kimya ni dalili kua wametudharau wateja wao.