TCRA yafungia Laini za Simu 900,000 zisizo na Usajili wa Alama za Vidole

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
 
Jambo zuri sana litatuongezea kura zetu mwaka 2025
 
Je, hapo mchakato utaendelea au zoezi hilo limeshafikia ukomo wake?
 
Hapo sawa sio hili la kuhakiki ambalo halieleweki. Kila nikihakiki naambiwa nimekosea, basi fungeni kwa kuwa nimeshindwa kuhakiki! Nilishaweka dole, shida ni nini? Au dole langu halieleweki?
 
Sasa hivi nimetoka kupokea msg kama saba hivi za tigo, mara ooh imechaguliwa kushinda milioni mia tano, mara simu janja, mara bahati yako yaani ni shiiiidaaaaa hawa tigo msg kama zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…