Muamala
Member
- Aug 10, 2013
- 69
- 10
Jamani msaada tafadhali kwa anayeelewa, mdogo wangu jina lilirudi afanye application mara ya pili, amefanya hivyo kama siku tatu zimepita leo profile yake inaonyesha iko processed na wanamwambia vilevile kama ilivyokuwa juzi ikimtaka aaply tena, HII IKO VIPI WAKUU?