TCU 4th around wanatoa lini jaman.. vjana bado wapo mitahani..

Mimi ni moja ya wa2 waliofanya 4th round applctn,na nimefanikiwa naenda SUA,FOOD SC and TECH,.Cha kufanya tembelea t.c.u website list of selected applicant then jaza kila info inayohtajika,HOPE UTAFANIKIWA
 
poa sasa ww ulivyojaza.. wakakuchaguaje yaani uliwekewa Yes kwenye iyo facult.. maana mm nimekuta prossecd af vigezo ni yess sijaelewa..
 
endelea kusubiri kama umeambiwa processed and yes,mimi pia ilikuwa hvo kama wewe
 
Back
Top Bottom