Kwanza napenda kuwapa pole wale wote mliochaguliwa 4th round kwenda vyuo ,hii ni kutokana na TCU Kuwapangia tarehe ya kuripoti vyuoni wakati registration deadline imepita,hivyo kuwapotezea mda wa kwenda chuo na kukataliwa kusajiliwa na adm.officers,pia ningependa kuuliza hivi je,ni kweli hakuna connection yoyote kati ya chuo,tcu na bodi?
Kumbe TCU siku hizi wanapeleka makapi vyuo vikuu? Ni majambele au majanyuma? Tutegemee nn toka kwa hayo makapi?Una akili au aubongo mleta mada, nani amewapotezea muda? walikuwa wapi kwenye raundi zoote za aapplication hadi wajikute 4th round kama walikuwa wanafanya makosa wao kuapply je? wenye akili woote walishariport vyuoni na wanakaribia kumaliza semister, 4th round wajijue wamwpata vyuo kuriport majaliwa hata mwakani kwani ni makapi acha utoto
Una akili au aubongo mleta mada, nani amewapotezea muda? walikuwa wapi kwenye raundi zoote za aapplication hadi wajikute 4th round kama walikuwa wanafanya makosa wao kuapply je? wenye akili woote walishariport vyuoni na wanakaribia kumaliza semister, 4th round wajijue wamwpata vyuo kuriport majaliwa hata mwakani kwani ni makapi acha utoto
Una akili au aubongo mleta mada, nani amewapotezea muda? walikuwa wapi kwenye raundi zoote za aapplication hadi wajikute 4th round kama walikuwa wanafanya makosa wao kuapply je? wenye akili woote walishariport vyuoni na wanakaribia kumaliza semister, 4th round wajijue wamwpata vyuo kuriport majaliwa hata mwakani kwani ni makapi acha utoto
Mkuu,uliona uka-comment kuwa MKL kaona,kakimbia.Tumekupata mkuu,,,asante sana.ajakujibu jamaa,ameona,,amekimbia,,,,,MKL.
Mimi sikuwa member wa JF, ila baada ya kusoma huu uzi, hasa kauli ya MKL post #2 aliyotoa kwa muanzisha uzi na jina alilowabatiza waliochaguliwa TCU 4th round la makapi, nilihisi nachomwa na kitu moyoni nikalazimika kujisajili JF ili nami nipunguze machungu yangu. Huyu MKL kama kweli ni muungwana, bila kujali ana mamlaka gani au la , atengue kauli na kuomba radhi kwa maumivu aliyowasabishia aliowatukana. @ MKL
JF si pahali pa kuropokea tu analojisikia mtu kufanya hivyo, hasa ktk jukwaa la elimu,jukwaa ambalo linahusisha watu walokwenda shule wakaelimika. Hizi kauli za piga tu, hata wa-tz wale nyasi lazima rada inunuliwe, hivi vijisenti, nk zitaisha Tanzania yetu?
Kwa uzoefu wangu, kauli hizi hutoka kwa watu waliolewa madaraka. Je,hii ya makapi imetoka kwa mlevi wa madaraka gani? @ MKL
Kuna post ya mdau mmoja alikuwa amechambua vizuri sana kauli ya MKL, nashangaa leo imefutwa. Ilikuwa post #4 . Sijui kwa nini? Inaonekana jamaa aliguswa sana na kauli chafu ya MKL,akaamua kuichambua. @ alpha1
Pole sana alpha1 na wadau woote hasa mleta UZI, mlioguswa na kauli zangu, Nashukuru kwa response zenu ambazo zoote hazilengi kuwasaidia wahanga binafsi nilimtumia kitu kinaitwa shambulia mtoa mada ili wenye taarifa watoe ukweli, alpha1 ulikuja na response mzuri sana counter attack ambayo ilinilenga mimi ambayo nayo ulifuata falsafa yangu nikiamini sasa wadau watakuwa wananidharau mimi kwenye post zao LAKINI wanatoa majibu ya maswali ya mleta uzi. kwani binasi sina na majibu nami nayatafuta kama tungekuwa tunajuana na mleta uzi hii ingekuwa ni agenda setting nikitegemea wachangiaji watapandwa jazba, wataniponda, lakini hasira zao zitawafungua watoe majibu na mwisho tunanufaika woote.
"ENDS JUSTIFY THE MEANS" nasikitika mpaka sasa hakuna majibu sawia na hivyo tuendelee kutafuta majibu kwani methodology ya kwanza haijafanikiwa
na wewe alpha1 usiwe unafuta kwani madhara ya kufuta elimu ambayo tayari ulishawapa walaji ni kama kuwadorishia na hivyo watakao tembelea uzi huu kwa sasa hawataona hicho wanacho kinukuu wenzao toka kwenye response yako kwangu ambayo ulishaifuta na hivyo wanakosa connection.
OK siku njema
EXCELLENT,GOALS ACHIEVED Amerudi kaomba radhi. alpha1,umetumia falsafa gani hadi jamaa karudi?Hurraaaaah!!!
Umerudi Mkuu. Safi sana.
Hicho ndo nilitaka Mkuu, urudi uwe pamoja nasi, siyo ujitenge,maana tungekosa mchango wa mawazo yako mazuri. Baada ya post yangu, nilifuatlia post zako nikaona una mchango mkubwa sana kwa JF hasa katika Jukwaa la Elimu, na kulingana na comment ya KG.KASELO niliona tutampoteza shujaa wa JF,labda uliteleza tu wala si hulka yako. Niliona hilo tatizo ni kama punje moja ya mchanga ktk punje elfu za mchele.
Pili, nashukuru umeguswa na maumivu ya mioyo iliyoumia umeomba radhi,nadhani wenye majeraha moyoni tayari utakuwa umeyatibu. HUO NDO USTAARABU. KARIBU KUNDINI MKUU.