The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2024/2025 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points zilizowekwa na Vyuo Husika.
Elimu Kuhusu Usomaji wa TCU guidebook nitaitoa Muda sio Mrefu hili kila mtu aweze kuelewa Jinsi ya Kutumia TCU guidebook.
Hivyo Tutegemee Muda wowote Matokeo ya ACSEE 2024 kutangazwa rasmi hili kuruhusu Dirisha la Application za Vyuo kama ilivyoelekezwa na RATIBA ya TCU kuanza mara moja tar 15.07.2024
FAHAMU JINSI YA KUSOMA NA KUITUMIA TCU GUIDEBOOK
Ukiwa Unapitia TCU Guidebook ya Mwaka huu 2024/2025
Admission Capacity
Hii ni Idadi ya wanafunzi watakaoweza kupewa nafasi ya kusoma katika course husika yaani kudahiliwa(kuwa admitted) kulingana na uwezo wa chuo.
Programme duration
Huu ni Muda mwanafunzi atakaosoma hio course hadi kuhitimu masomo degree nikuanzia miaka 3 hadi 5 kwa Tanzania.
Principal Pass
Grades: A, B, C, D and E are Principal Passes while grades S is Subsidiary and F is Fail
Hizi zitakua in any of the listed subjects katika course.Mkiwa Mnapitia TCU GUIDE BOOK Kumbukeni Na Hili:
A = 5
B = 4
C = 3
D = 2
E = 1
S = 0.5
F = 0
So kwenye masomo yako ma3 ya advance point utakazopata ukizijumlisha zisiwe chini ya minimum admission point uliyoandikiwa
Kwa mfano minimum admission point ukiandikiwa 4 kwenye masomo mawili, basi inamaanisha ili kupata sifa za kuingia hiyo kozi itabidi upate D mbili au zaidi kwenye masomo yaliorodheshwa.
Pia, ukiandikiwa minimum admission point ni 5 kwenye masomo matatu, basi ili kuweza kuwa na sifa zinazotakiwa usome kozi fulani itabidi kwenye masomo yako upate sawa au zaidi ya D, D, E.
Na ukiandikiwa minimum admission point ni 5 kwenye masomo mawili, basi ili kuweza kuwa na sifa zinazotakiwa usome kozi flani itabidi kwenye masomo yako mawili upate sawa au zaidi ya D na C.
Cc:UNIFRESHERS