Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
As the heading above
application starts on 14-25 october 2013
SOURCE TCU website
application starts on 14-25 october 2013
SOURCE TCU website
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wadau hawajaapply bado.?
Au ndio kale kampango ka kujaza udom, mwee watachukua mpk 4:19
majanga kwel
Udom ya wa2 wa kwanza kuanza nayo ndo ilikuwa inauzito lakini sasa ivi hapafai
Udom ni chuo kzur ki-majengo 2 dah! Uongoz mbovu, wanafunz wa pale wakaze kutafuta 1st class la cvyo watakaa mitaani au wataajiriwa kampuni ya tigo manake ndo wamejaa wengi kweli wa udom dah kumbe udom majanga!
Acha uongo ww, mimi niko ofisi ya tigo staff nzima hatuna mtu wa udom hata mmoja na hata hivyo sidhani kama jina la chuo ndio litakufanya uwe vizuri katika utendaji. Unaweza soma udom ukawa vizuri kuliko hata waliosoma vyuo hivi wanaoviona vya magenious. Guys pigeni shule na kazi acheni majungu
Udom ya wa2 wa kwanza kuanza nayo ndo ilikuwa inauzito lakini sasa ivi hapafai
As the heading above
application starts on 14-25 october 2013
SOURCE TCU website
sawa mkuu ila udom wakaze xana 1st class inawahusuUdom ni chuo kzur ki-majengo 2 dah! Uongoz mbovu, wanafunz wa pale wakaze kutafuta 1st class la cvyo watakaa mitaani au wataajiriwa kampuni ya tigo manake ndo wamejaa wengi kweli wa udom dah kumbe udom majanga!
Acha uongo ww, mimi niko ofisi ya tigo staff nzima hatuna mtu wa udom hata mmoja na hata hivyo sidhani kama jina la chuo ndio litakufanya uwe vizuri katika utendaji. Unaweza soma udom ukawa vizuri kuliko hata waliosoma vyuo hivi wanaoviona vya magenious. Guys pigeni shule na kazi acheni majungu
Hahahahaha! Mwanangu nimeamini leo kudadadeki dah Mungu akisaidie chuo cha serikari poleni sana mnaosoma udom ka vp tafuteni 1st class la cvyo majanga hahaha! Ila mzumbe masterz haina nguvu labda usome yenye ushirikiano na ya nje
hahahaha usicheke mwanangu, 2ishaur serikali ni vip itakisaidia chuo kikubwa kupita vyote Tanzania na majengo mazur kama mbele vileKwikwi kwikwi usinichekeshe ndg. New Manase....
Acha ninywe maji kwanza...
Wakati huo uipitie comment yako ya #34 , kule kwenye uzi wa limau.
hahahaha usicheke mwanangu, 2ishaur serikali ni vip itakisaidia chuo kikubwa kupita vyote Tanzania na majengo mazur kama mbele vile
Mkuu unauchungu sana, ni kweli hii serikali haishauriki ni bora 2lete tifu kdogo patasomeka, ujue kile chuo wa2 wa kwenye vitengo ninamashaka na elim zao kidizaini kama wamepelekwa bila qualifications! Manake hawajielewi kabisaSerikali ipi unavoizungumzia?
Au hii tunayoambiwa "uzeni mbuzi na kondoo muende kusoma"...?
Au hii ambayo wanatifuana mjengoni, na ahadi zao za kienyeji: "zimeni taa tupigane"...
Hapo udom ndio kwishnei!!!