TCU call 4th Round application..!!

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
As the heading above
application starts on 14-25 october 2013
SOURCE TCU website
 
Kuna wadau hawajaapply bado.?
Au ndio kale kampango ka kujaza udom, mwee watachukua mpk 4:19
 
Ai yawaaa!!
Wanakiua hiki chuo wajameni.
Sasa si watazoa vilaza tupu?
 
Udom ni chuo kzur ki-majengo 2 dah! Uongoz mbovu, wanafunz wa pale wakaze kutafuta 1st class la cvyo watakaa mitaani au wataajiriwa kampuni ya tigo manake ndo wamejaa wengi kweli wa udom dah kumbe udom majanga!
 
Udom ya wa2 wa kwanza kuanza nayo ndo ilikuwa inauzito lakini sasa ivi hapafai
 
Udom ya wa2 wa kwanza kuanza nayo ndo ilikuwa inauzito lakini sasa ivi hapafai

Halafu wewe New Manase, acha michezo yako ya kung'ata na kupuliza kwa pua.
Kuna sehemu nimekukuta unakisafisha udom kweli kweli, halafu nikaona umepost masters za MU ni "maharage ya mbeya"

All in all, udom si chuo kabisa, sister ana 3.9 gpa ya ba in eco. yupo tu anafundisha tempo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Mwanangu nimeamini leo kudadadeki dah Mungu akisaidie chuo cha serikari poleni sana mnaosoma udom ka vp tafuteni 1st class la cvyo majanga hahaha! Ila mzumbe masterz haina nguvu labda usome yenye ushirikiano na ya nje
 
As the heading above
application starts on 14-25 october 2013
SOURCE TCU website

Kama ni kweli bhas kazi, watachaguliwa wapi wakati vyuo karibia vyote vitakuwa vishagunguliwa? Anyway tusubili tuone,
Kama hao walochagiliwa wamekosa mkopo hawa wa 4th round kulikoni!
 
Hahahahaha! Mwanangu nimeamini leo kudadadeki dah Mungu akisaidie chuo cha serikari poleni sana mnaosoma udom ka vp tafuteni 1st class la cvyo majanga hahaha! Ila mzumbe masterz haina nguvu labda usome yenye ushirikiano na ya nje

Kwikwi kwikwi usinichekeshe ndg. New Manase....
Acha ninywe maji kwanza...
Wakati huo uipitie comment yako ya #34 , kule kwenye uzi wa limau.
 
Last edited by a moderator:
Kwikwi kwikwi usinichekeshe ndg. New Manase....
Acha ninywe maji kwanza...
Wakati huo uipitie comment yako ya #34 , kule kwenye uzi wa limau.
hahahaha usicheke mwanangu, 2ishaur serikali ni vip itakisaidia chuo kikubwa kupita vyote Tanzania na majengo mazur kama mbele vile
 
Last edited by a moderator:
hahahaha usicheke mwanangu, 2ishaur serikali ni vip itakisaidia chuo kikubwa kupita vyote Tanzania na majengo mazur kama mbele vile

Serikali ipi unavoizungumzia?
Au hii tunayoambiwa "uzeni mbuzi na kondoo muende kusoma"...?
Au hii ambayo wanatifuana mjengoni, na ahadi zao za kienyeji: "zimeni taa tupigane"...
Hapo udom ndio kwishnei!!!
 
Mkuu unauchungu sana, ni kweli hii serikali haishauriki ni bora 2lete tifu kdogo patasomeka, ujue kile chuo wa2 wa kwenye vitengo ninamashaka na elim zao kidizaini kama wamepelekwa bila qualifications! Manake hawajielewi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…