TCU call 4th Round application..!!

Kama ni kweli bhas kazi, watachaguliwa wapi wakati vyuo karibia vyote vitakuwa vishagunguliwa? Anyway tusubili tuone,
Kama hao walochagiliwa wamekosa mkopo hawa wa 4th round kulikoni!

na zile bilion 36 je?
 
As the heading above
application starts on 14-25 october 2013
SOURCE TCU website

naishangaa sana TCU kuna watu waliomba coz katika vyuo wanavyovipenda but leo mtu anashangaa kukuta coz aliyoihitaji bado ina nafasi za watu ku apply wakati kunawatu walikua na vigezo na wakashindwa kuwachukua??
TCU you must change kwa kweli what your doing is not fair.......!!
 
Mkuu unauchungu sana, ni kweli hii serikali haishauriki ni bora 2lete tifu kdogo patasomeka, ujue kile chuo wa2 wa kwenye vitengo ninamashaka na elim zao kidizaini kama wamepelekwa bila qualifications! Manake hawajielewi kabisa

kivipi mkuu
 

Kweli kabisa mkuu,hata mimi ilo suala lilinikuta
 
Naomba kama tangazo lote linaweza kuwekwa hapa.
Nimetafuta mwenyewe sasa silipati.
 
vp habari za transfer unaweza zifanya.kwa aliye ona tangazo atujulishe tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…