TCU call for forth around selection..

TCU call for forth around selection..

Aisee wadau Tcu round ya nne selection wanatoa lini..?
Bado wako kwenye selection. Hata kama wakitoa majina ya waliochanguliwa fourth round, kuna uwezekano wa kutokwenda vyuoni labda mwakani maana vyuo vingi vimeshafunga usajili na masomo yameshaanza, labda iwepo loophole.
**This is my take, not TCU official info
 
Back
Top Bottom