Bado wako kwenye selection. Hata kama wakitoa majina ya waliochanguliwa fourth round, kuna uwezekano wa kutokwenda vyuoni labda mwakani maana vyuo vingi vimeshafunga usajili na masomo yameshaanza, labda iwepo loophole.
**This is my take, not TCU official info