Tcu casv2

Esir

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
30
Reaction score
3
Wadau system ya TCU CAS imeanza kufanya kazi kwa kukubali user waliomaliza diploma kufanya registration kwa ajili ya elimu za juu, mimi nimemaliza diploma ucc na nimefanya usajili leo hii, lakini nikichagua kozi inakubali hadi nne tu wakati wao (TCU) wanataka uchague kozi zisizo pun gua sita na zisizidi nane, hivyo nikiendelea na chaguzi inakataa, msaada tafadhari kwa aliyefanikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…