TCU Guide Book 2015/2016, ada ziko vile vile

TCU Guide Book 2015/2016, ada ziko vile vile

KUCHITIMBO1970

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
482
Reaction score
221
Ada elekezi kwa vyuo vikuu nchini itatolewa lini?.Au zilikuwa mbwembwe tu.
kama kichwa cha thread kinavyo sema
tcu guide book imetoka mwaka wa masomo
2015/2016
ada bado zile zile ....je swala la serikali kutoa ada elekezi lime fikia wapi
au ndo siasa hadi kwenye mambo ya maana
naomba kuwasilisha..........
 
walidai wata andika kwenye guide book kwa hawa madogo watao apply mwez wa nane huu so ita anza kutumika mwaka wa masomo 2015/2016
 
Tayari mkuu download kitabu elekezi cha TCU cha mwaka huu kimeshatoka...2015/2016
 
kama kichwa cha thread kinavyo sema
tcu guide book imetoka mwaka wa masomo
2015/2016
ada bado zile zile ....je swala la serikali kutoa ada elekezi lime fikia wapi
au ndo siasa hadi kwenye mambo ya maana
naomba kuwasilisha..........
 
Back
Top Bottom